Chaka Khan akitabasamu alipkuwa akisikiliza moja ya wimbo wake aliowahi kuimba miaka kadhaa iliyopita
Mwanamuziki Chaka Khan akigonga na Mtangazaji wa Choice FM,Thandi jana mchana alipokuwa akifanya nae mahojiano mafupi kuhusiana na onyesho lake litakalofanyika ndani ya Ubungo Plaza,July 23 kwa udhamini mkubwa wa Club E.
0 Comments