Watoto hali zao kiukweli zinatilisha huruma sana,wengi wao wanakufa na njaa,japo mashirika mbalimbali duniani yanajitahidi kupeleka misaada ya vyakula ila hali ya mapigano inachangia kwa kiasi kikubwa sana ukame na vifo vya wakazi.