Mwanamuziki toka Marekani Ludacris amewasili Dar es Salaam Tanzania jana jioni na kuongea na waandishi wa habari kuwa show ya mwaka huu Fiesta 2011 itakuwa babukubwa.kwa maana hiyo jumamosi hii kwenye viwanja vya Leaders Club patakuwa hapatoshi.