Waziri Mkuu Mizengo Pinda (wa pili kushoto) akikagua meli ya Ocean Rig Poseidon kwenye bandari maarufu ya ujenzi wa meli kubwa mjini Geoje, Korea Kusini. Meli hiyo mali ya Kampuni ya Petrobas ya Brazil inatarajiwa kufanya utafiti wa mafuta na gesi kwenye pwani ya Mtwara na Mafia miezi michache ijayo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).