| Sahani zilizojaa wali wa kilo moja kwa mchanganyiko wa mchuzi wa kuku na vipande vya nyama ya kuku kwa kila mshiriki vikiwa tayari mezani ili kugaiwa washiriki hao. |
| Haya kipyenga kilipolia kila mmoja aliinamisha shingo kwenye sahani na kufanya kazi ya kupiga matonge ya fastafasta ili amalize mapema,ebu ona kazi ya kupuliza kwa jinsi kilivyokuwa cha moto. |
| Mie niliwaambia kuwa hamuniwezi makabisha,mnaona sasa? |
| Kabla game kuanza kila mmoja alipata maelekezo ya awali mabyo waliyakubali na kupiga makofi kama ishara ya kukubalina na utaratibu mzima. |
0 Comments