Mchezaji wa USA kushoto akijaribu kumtoa mlinzi wa Sweden hapo jana katika kinyang'anyiro cha kuligombea kombe la dunia,ila Marekani walikubali kutoka uwanjani kwa kupigwa magoli 2 kwa 1na Sweden.
Mwanadada wa kijerumani akishangilia ushindi baada ya timu yake kutoka uwanjani wababe.