Waungwana nitawataka radhi kidogo kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu leo nitakuwa nje kidogo ya ukurasa.Swahiba wangu kipenzi amepatwa na msiba,hapa nipo ndani ya trein naelekea huko na umbali wake ni ka mwendo kidogo hivyo kama mjuavyo msiba na shughuli za msiba.nitawaomba radhi sana endapo nitachelewa kuwarushia habari kwa siku ya leo.
Watu wa habari bwanaa......!!!!! yani hata ndani ya trein ni kurusha habari tu,nilichojifunza hapo ni kuona kuna sehemu maalumu ya kuweka baiskeli ndani ya trein.Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa kunielewa juu ya sababu nilizowapa juu ya msiba alioupata swahiba wangu.tutaonana baadae.