TANGAZO LA MSIBA WA MZEE MAULID.
Tunasikitika kutangaza kifo cha Marehemu Mzee Maulid Mohamed (Mzee Mvinje) kilichotokea jana katika hospital ya Amana jijini Dar es Salaam,Habari ziwafikie ndugu,jamaa na marafiki popote pale walipo.Shughuli na taratibu za mazishi zinafanyika leo jijini Dar es Salaam.


Kwa yoyote atakayepata taarifa hizi tunaomba amjulishe na mwenziwe.Taarifa zingine juu ya utaratibu mzima mtajulishwa na ndugu wa karibu kwenye msiba.
                           Mtoto wa marehemu Mama Mustafa.``Belgium``.