Hii kitu hapa ni nzuri kwa mtazamo wa harakaharaka,tutasema "aaah jamaa kafanya ubunifu mzuri kweli" tena kijijini...!!! lakini athari zake ni kubwa zaidi ya ukubwa endapo kukitokea madhara ya kuanguka na kuuwa wahusika (hatuombei hili jambo litokee) ila kama kuna vigezo vitatumika kulikagua hili ghorofa likatumika na kuona linafaa na hakuna madhara kwa siku za usoni kwa kiwango kilichotumika kulijenga ghorofa hilo itasaidia sana.Huu ni mtazamo wangu wajameni.
0 Comments