HIVI NDIVYO JANA ILIVYOKUWA KWA UPANDE WA WAPENZI NA MASHABIKI WA SIMBA FC.UKIIANGALIA PICHA VIZURI KUNA WALIOWEKA MIKONO KICHWANI,VIDEVUNI NA KUNA HATA WALIOKATA TAMAA KABISAA USONI.ILA KUNA WAWILI WANACHEKA,SIJUI NI YANGA WALEE EBU WAANGALIE VIZURI.
KIKOSI CHA VITENDO BILA MANENO,SIMNAONAAAAAA???