Hapo hao askali wanalenga juu au mtu akija anakula tu ya kichwa? mambo yalivyojiri Mwanza mwishoni mwa wiki.
Ukiangalia kwa harakaharaka hapo hao askali wanaelekea kabisa kuwafuata wahusika ili wakatimize malengo yao.hivi kwanini na hao jamaa zetu nao siku hizi wanapenda kuua?
0 Comments