Sehemu ya watoto 70 waliohitimu hatua ya awali katika Shule ya Awali na Msingi ya Brookhouse International School Ltd, Dar es Salaam wakisoma vitabu wakati wa mahafali yao ya 12 ya shule hiyo yaliyofanyika jijini humo. (Picha na Fadhili Akida).