Garden ni sehemu ya mapumziko na ni sehemu ya kufurahisha nafsi,siku zote sehemu kama hizi kuna vivutio vingi ambavyo vitakufanya uondokane na msongo wa mawazo,je wewe msomaji ni mara ngapi kwa wiki unakwneda Garden?au maeneo unayoishi kuna garden ngapi?
Angalia bidada huyu jinsi anavyoangalia hayo maji yanavyoruka hewani,je unaweza kujiuliza kwa kusimama kwake hapo anajifunza nini?juu ya kuweka mkono wake kwenye shavu anawaza nini na wewe msomaji kwa kuangalia hii picha umejifunza nini?
0 Comments