Automatical Teller Machine (ATM) ni machine inayokurahisishia mtumiaji njia nyepesi katika utoaji,uingizaji,uangaliaji wa salio,uhamlishaji na mambo mengi sana juu ya fedha.ila sio wote wanaojua matumizi hayo vyema,ATM pia unaweza kununua voucher yako ya simu,ATM inakuwezesha mteja kukopa pesa katika account yako.kuna mambo mengi sana ya kufanya na ni rahisi kwako mteja endapo utawaulizia vyema wahusika wa benki yako.Usijue kutoa tu pesa.