Klitschko akiendeleza kurusha makonde kwa mpinzani wake David Haye na kumfanya akubali matokeo baada ya raundi 12 kwisha.
 Hakuna ubishi kwamba David Haye alizidiwa na bingwa Klitschko kwa kupigwa kila raundi.
Bondia Wladimir Klitschko akiuonyesha umati mkanda wake wa ubingwa alioutwa usiku wa jana baada ya kushinda kwa pointi dhidi ya David Haye.