Makamu wa Rais Dk Mohamed Gharibu Bilal akifurahia jambo na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Steven Alfred (wa pili kushoto) baada ya kumwelezea jambo wakati alipotembelea banda lao la Maonyesho kwenye viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere Dar es Salaam. Kushoto ni Waziri wa Viwanda va Biashara, Dk Cyril Chami na Meneja Uhusiano wa PPF, Lulu Mengele. (Picha na Robert Okanda).