Hawa ndio washiriki 30 wanaogombania umiss Vodacom Tanzania 2011 wakikaribishwa katika jumba lao ambapo watakuwa wakifanya mazoezi mpaka siku ya mwisho watakapopanda jukwaani kuwania taji hilo.(video na Michuzi)