Baada ya kutangwazwa kuwa wao ndio washindi wa Big Brother mwaka huu Wendall kushoto kutoka nchini Zimbabwe na Karen kulia kutoka nchini Nigeria wakiwa hawaamini masikio yao.
 Pichani kushoto mshindi wa Big Brother Karen toka Nigeria akiwa na uso wa mshangao baada ya kutangazwa kuwa ni mmoja aliyepita katika fainali hizo,kulia ni bidada Sharon Nalukenge kutoka nchini Uganda.
 OOoooh come oooon.....!!!!! why why mmmhh..Hapo nahisi bidada Sharon alikuwa akijisemea kimoyonimoyoni.
 Mtaalamu wa kunyonga viuno na mwenye sauti nzuri ya kuimba,mwanamuziki toka pande za Congo Fally Ipupa alikuwepokatika kupendezesha Big Brother.Pichani akiwa na kikosi chake wakiwaburudishisha waliofika ukumbini hapo.
Washindi wa Big Brother Amplified 2011 kushoto ni Wendall toka Zimbabwe na bidada Karen toka Nigeria kila mmoja amejinyakulia kiasi cha dola 200'000,Hongera zao kwa ushindi wao.