Hivi ushawahi kujiuliza ni msanii gani mwenye “mkwanja” kushinda wengine wote hususani pande za USA ambako karibuni ulimwengu wote huangalia pindi viwango vinapohitajika?
Kama uliwahi basi jibu lipo katika jarida maarufu la Forbes lililomtaja Rapper Jay-Z kuwa msanii mwenye mshiko kupita wengine wote katika Hip Hop/Rap kutokana na kuweka kwapani kiasi cha dola milioni 37 ndani ya miezi kumi na mbili iliyopita. Jay Z ana mkwanja huo kutokana na mauzo ya albums,tours, umiliki mdogo katika timu ya mpira wa kikapu ya New Jersey Nets na umiliki wa clubs za 40/40.
Anayemfuatia kwa karibu ni Diddy ambaye ndani ya miezi hiyo 12 aliweza kujilimbikizia kiasi cha dola milioni 35 huku nyingi zikiwa zimetoka katika mpango alionao na Vodka Ciroc.Bila shaka umeshawahi kuona matangazo akikwambia Drink Responsibly.
Baada ya Diddy anayefuatia ni mtu wa karibu wa Jay-Z yaani Kanye West ambaye aliweza kuweka kibindoni dola milioni 16 ndani ya miezi 12 iliyopita.
Rapper wa kike machachari kutoka record label ya Young Money,Nicki Minaj anakuwa mwanamke wa kwanza kuingia katika 20 bora huku akishika nafasi ya 15 kwa kuweka kibindoni dola milioni 6 na nusu.
Orodha kamili hii hapa
1. Jay-Z – $ 37,000,000
2. Diddy – $ 35,000,000
3. Kanye West – $ 16,000,000
4. Lil Wayne (tie) – $ 15,000,000
4. Birdman (tie) – $ 15,000,000
6. Eminem (tie) – $ 14,000,000
6. Dr Dre (tie) – $ 14,000,000
6. Snoop Dogg (tie) – $ 14,000,000
9. Akon – $ 13,000,000
10. Ludacris – $ 12,000,000
11. Wiz Khalifa (tie) – $ 11,000,000
11. Drake (tie) – $ 11,000,000
13. Pharrell Williams – $ 10,000,000
14. Timbaland – $ 7,000,000
15. Swizz Beatz (tie) – $ 6,500,000
15. Nicki Minaj (tie) – $ 6,500,000
17. Rick Ross (tie) – $ 6,000,000
17. 50 Cent (tie) – $ 6,000,000
17. Pitbull (tie) – $ 6,000,000
20. T-Pain (tie) – $ 5,000,000
20. B.o.B (tie) – $ 5,000,000
...............................Source,BC.................................

0 Comments