Usiku wa leo mabingwa watetezi wa ligi kuu nchini England MANCHESTER UNITED wanawakaribisha TOTTENHAM nyumbani Old Trafford katika kinyang`anyiro cha ligi kuu nchini humo.Nani kutoka kifua mbele?usikose kuangalia mechi hii muhimu usiku wa leo.kwa England mechi inaanzwa kuchezwa saa mbili usiku kwa saa za kwao.
0 Comments