Kwa kukosa elimu bora binaadamu hukosa fikra sahihi.
Hii sio gari ya mizigo,sio gari la maonyesho na wala hakuna sheria ya kusema gari kama hili kubeba mizigo ila binaadamu huvunja sheria kutokana na ugumu wa maisha.
Angalia hatari wanayofanya hawa watu,jiulize nchini Kongo hakuna sheria?hakuna polisi wa usalama barabarani?hakuna watu wenye fikra na kufikiri nini maana ya hatari?