Mfanyakazi wa Kivuko cha Mv Kilombero, akiwa ndani ya Mto Kilombero, jana akirekebisha kishikio cha nanga za kivuko hicho upande wa pili wa mto kwenda Wilaya ya Ulanga kutoka Ifakara, wilayani Kilombero, baada ya kulegea na kusababisha kishindwe kufika eneo la usawa kushuka na kupanda abiria na magari, kama alivyokutwa kivukoni hapo. (Picha na John Nditi).