Nyumbani hakuna aliyebisha kwamba anastahili kuwa yeye ndiye Miss wetu ambaye atatuwakilisha.
Sasa kwa macho yako unaweza kuthibitisha kuwa tuna muakilishi wa ukweli,kimtazamo tu tuna kisura ambaye chochote kinaweza kutokea au kuna anayebisha kwamba Tanzania tumepeleka mrembo?
Haya wanandugu kazi kwenu kumuombea dua zenu mwakilishi wetu katika kuwania hili taji la Dunia.