Jobs ambaye ni mmoja wa waanzilisi wa Apple amekuwa akisumbuliwa na Cancer toka mwaka 2004. Kutokana na hali yake ya kiafya, amekuwa akichukua likizo za mara kwa mara kutoka kazini.Ni pengo kubwa sana kwa bwana Steve Jobs kujiuzulu kwake,ila ametangaza nafasi yake kumuachia bwana Tim Cook.