Kwa mbali Mjumba unaoneka kama ifuatavyo..
Haya tena Ofisa mkuu wa masomo na mahusiano wa kampuni ya Vodacom bidada Mwamvita Makamba akikata utepe kuashiria ufunguzi wa jumba la kifahari ambalo washiriki 30 wa shindano la kumtafuta Miss Vodacom Tanzania 2011 watakuwa humo kwa ajili ya maandalizi .
Kama kawaida Cheeerrrs,cheeeerrs kila mmoja akigongesha glass kama furaha ya uzinduzi wa jumba hilo. 
Haya jamani kwa pamoja na boss wetu jamaanii,kila mmoja jino nje 
Vodacom Miss Tanzania 2011, Top Model Mwajabu Juma (katikati) akipongezwa na washiriki wenzake wa Miss Tanzania baada ya kutajwa kuwa ndiye mshindi wa taji hilo na mrembo wa kwanza kuingia katika Nusu Fainali za Vodacom Miss Tanzania mwaka huu. Shindano hilo lilifanyika juzi usiku na matokeo kutangazwa jana mbele ya waandishi wa habari.