Wakati timu 12 leo zinajikita dimbani katika ligi kuu ya Uingereza,Arsenal anaikaribisha nyumbani timu ngumu ya Liverpool.Usikose mechi hii muhimu katika kuburudisha nafsi yako.