Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake wakati wa ufunguzi wa mkutano wa siku tatu wa asasi za mawasiliano za nchi wanachama wa jumuiya ya madola unaofanyika katika hoteli ya Kilimanjaro Kempinski jijini dar es Salaam.Picha na mdau Freddy Maro wa Ikulu