Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein na mkewe Mama Mwanamwema, wakijumuika na wakulima kuchambua karafuu zilizochumwa katika Kambi ya Karafuu Daya Mtambwe, akiwa katika ziara ya kutembelea kambi za wachumaji wa karafuu Mkoa wa Kaskazini Pemba. (Picha na Ramadhan Othman).
0 Comments