Tanzania ni moja ya nchi ambazo zinasifika kwa Amani Duniani,Tanzania ni nchi yenye watu wazuri Duniani,Tanzania ni nchi yenye watu wakarimu sana Duniani,na katika Afrika nzima hakuna mlima Mrefu kama Mlima Kilimanjaro ambao upo Tanzania.sasa basi watu wote duniani wamekaa na kutafakari,wakaona kila nchi itoe kitu ambacho ni kivutio kwa nchi yao na kivutio chenyewe kiwe na maajabu fulani,Watanzania bila ajizi wakaonelea kuuweka Mlima Kilimanjaro katika shindano hilo.sasa basi ili Mlima Kilimanjaro uweze kushinda shindano hilo unahitaji kura yako eeh ndugu Mtanzania.jinsi ya kupiga kura ni rahisi na buree kabisaa wee gonga hapa www.7wonders.com kisha fuata utaratibu ambao utakaokuelekeza. 
Ebu angalia jinsi unavyovutia Mlima huu,Angalia Mungu jinsi alivyoishusha Neema hii nchini Tanzania,wazungu na mambo yao yoote waliojaaliwa kila siku wanaulilia mlima huu mrefu kuliko yote barani Afrika.tafadhali tunakuomba kura yako kwetu ni Dhahabu...ingia www.7wonders.com au piga namba za simu zifuatazo +1669 760 5990 au +1649 339 8080 au +44 758 900 760, baada ya maelezo ingiza no. 7716.Mungu atakujaalia kwa kura yako ambayo huitaji kuongwa pesa wala huitaji nguvu katika kuupigia kura Mlima huu,sio tu watanzania wanaopaswa kuupigia kura Mlima huu,waafrika woote kwa ujumla tukifanya hivyo tutakuwa tumejitangaza waafrika.