Watoto wa kijiji cha Tchenzema, tarafa ya Mgeta, Mvomero mkoani Morogoro, wakiwa wamekaa juu ya kabichi zilizovunwa tayari kusafirishwa sokoni. (Picha na Fadhili Akida).