Ni kijana mdogo sana mwenye maneno ya kashfa,dharau,majigambo na kujiamni kupita kiasi...anajulikana kwa jina la Floyd Mayweather Junior,ni kweli tokea aanze kucheza mchezo wa ngumi hajawahi kupigwa hata mara moja.Najiuliza Afrika nzima hakuna bondia anayeweza kumkalisha kitako huyu kijana?kama yupo ni nani na yupo wapi watu wafanye utaratibu wa kuwatafutia wadhamini ili tuone nani wa kuweka historia ya ngumi kwa kijana huyu.Ukiangalia pichani utakiri kwa kuona kwamba anashikiria mataji yote ya ukanda wake.