Sio mimi jamani ni Manchester fans wameomba niwawekee kwenye Ukurasa,nami kwa kuwa naipenda Manchester nikaona aah yanini kujivunga....!!!! haya Arsenal kazi kwenu...