Ukiangalia tarehe ya kwenye picha haiendani na wahusika hivi sasa,hapo kushoto ni Mpoki na kulia ni Joti enzi zao bado Waash.....
Hapa huu ni muonekano wa picha za hivi karibuni wakiwa wamepiga suti ambazo ukizikagua vyema unaona kabisaa hazikunyooshwa kwa pasi...yani hawa ni full ze komedi ukiwaaangalia tu unaweza kucheka peke yako.