Ukiliangalia kwa mbali utalishangaa kwa mbali,jaribu kulisogelea hapoo ndipo utagundua kuna watu duniani hawalali kuumiza vichwa watafanya nini kipya.Moja ya Most expensive car in the world ni hili basi la abiria nchini Dubai,kwanza linakimbia kwa kasi ya ajabuFirst Super Bus  for Travelling from Dubai to Abu Dhabi: Speed 250 Km/hr.(picha na mzee wangu Said Sleyyum,Ilala Dar).