Basi la kampuni ya Champion lenye namba za usajili T 763 AEQ, lililokuwa likitoka Mwanza kuelekea Dar es Salam, likiwa limepinduka eneo la Nala, Manispaa ya Dodoma na kusababisha watu saba kufariki dunia papo hapo na wengine kadhaa kujeruhiwa jana.