Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe akimnadi mgombea wa chama chake, Joseph Kashindye katika Kijiji cha Mwamashimba mkutano wa kampeni za uchaguzi mdogo wa ubunge katika Jimbo la Igunga jana.