KWA muda mrefu, kile kilichokuwa kikisubiriwa na wapenzi wa muziki duniani sasa kimetimia, wanamuziki nguli wa miondoko ya Hip Hop nchini Marekanim Jay- Z na Kanye West wameungana na kuunda kundi lao la ‘The Throne.’