Baadhi wa wakazi wa jijini Dar es Salaam wakiwa katika foleni ya kununua umeme wa Luku Kariakoo jana. Wakazi hao wamedai mfumo wa ununuzi umekuwa kero kwa wakazi wa eneo hilo kwa kipindi cha siku nne sasa.(majira)