Tarehe 17 september 2011 MGM Las Vegas Nevada Mvua ya mawe kati ya bondia machachari ambaye hajawahi kupigwa maishani mwake Floyd Mayweather na bondia mkali anayekubalika katika kurusha mikono yake vyema Victor Ortiz.Pichani Floyd Mayweather kushoto kama kawaida yake ya mikwara kabla ya siku ya pambano.
Kama mkazi wa Marekani usikose mpambano huu,na kama mkazi nje ya Amerika just kaa mkao wa kula karibu na Tv yako siku hiyo ya tarehe 17 sept.


0 Comments