Kwa mujibu wa Uongozi wa 4x Entertainment unawahakikishia kuwa taratibu zote za maandalizi ya show ya Mfalme wa muziki wa Pwani (Taarabu) Mzee Yusuph yamekamilika na kwamba tarehe 16/09/2011 yani Ijumaa hii ndani ya Mji wa  Den Haag patawaka moto kwa show ambayo ilikuwa ikisubiriwa na wengi.Kutokana na sababu ambazo hazikuweza kuzuilika show ya Mzee Yusuph imebadilika na kufanya wengi kupata usumbufu kidogo,Uongozi woote wa 4x Entertainment unawaomba radhi wapenzi wote wa muziki wa mwambao,na kwamba Inaomba kila mmoja asikose show hii siku ya Ijumaa tarehe 16 september.Mzee Yusuph anakuja na pipi nyingi sana toka Tanzania kuja kuwarambisha wapenzi wake woooooote watakaokuja Den Haag siku hiyo.Taratibu za Anuani ya ukumbi mnapatiwa leo hii usiku.
                                               Ahsanteni, Promoter, James
Mzee Yusuph King of Taarabu Tanzania,anakuja kwa vishindo vya aina yake Den Haag Ijumaa Hii...usikose na ukisikia na kuliona tangazo hili usim`banie mwenzio.Kumbuka tu Jumamosi atakuwa Germany akiendeleza kuwarambisha na wengine.