Hutakujasikia hata siku moja mwanamama wa kijijini kamkata mtu Panga au kumjeruhi mtu kwa silaha.kwani ni watu wenye Busara na Hekima za umri na matumizi ya vifaa hivyo.Pichani kama unavyojionea mama akiwa na Panga kiunoni.