Ukiwa unakula sana kila wakati hujikuta na hali ya kuwa na mwili mkubwa pasipo na matarajio yako.na kuna baadhi ya watu wengine wao ni asili yao kuwa na miili mikubwa kama huyu bidaa pichani.Binadaamu tunashauriwa kila mara kuzingatia vyakula tunavyokula,tusipendelee kula vyakula vyenye mafutamafuta na vyakula vyenye sukarisukari.
0 Comments