Kabla ya mpambano mambo yalikuwa hivii,yani kila mmoja alikuwa na nyuso za furaha.
Kivumbi kilianza hapa wakati wanapimwa uzito wao,asubuhi kabla ya pambano lao la usiku.
Floyd Mayweather alionekana mtu wa hasira muda wote na hasiyeweza kujizuia kabla ya pambano
Yani ilikuwa patashika nguo kuchanika,ilibidi wasimamizi/wasaidizi wao kuwasaidia kuwatenganisha maana ilikuwa mshikemshike sio kawaida.
Boom,Baang,Biing.....this was knockout Punch.....ngumi mbili za chapchap na za kushtukiza zikimpeleka chini bondia Victor Ortiz katika raundi ya nne na kumfanya Floyd Mayweather kuendelea kuonekana mbabe hasiyepigiga duniani.
0 Comments