Tatizo la uonevu kwa watoto wa kike limekuwa kama jambo la kawaida.unakuta mvulana anamkwida msichana kama hapo unavyoona hivi kama anakunjwa dada yako huwa unajisikiaje?kiukweli haipendezi kabisaa.mimi binafsi napiga vita sana hii kitu manyanyaso kwa watoto kike na hata wake zetu majumbani.
0 Comments