Baada ya dakika ya 27 kipindi cha kwanza mchezaji NANI wa Manchester United kuweka bao la kwanza na mpaka kipindi cha kwanza kinakwisha Manchester walikuwa na bao 1.kipindi cha pili kilipoanza mchezaji wa Stoke City Peter Crouch aliipatia timu yake bao la kusawazisha katika dakika ya 57 na kulazimisha sare ya mchezo. Mpaka mwisho Man U 1-1Stoke City.