Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein akiwa amefungua pazia ikiwa ni ishara ya kuzindua Shule ya Sekondari ya Wama Nakayama katika Kijiji cha Nyamisati wilayani Rufiji katika Mkoa wa Pwani. Kushoto ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA), Mama Salma Kikwete, ambaye ni mlezi wa shule hiyo. (Picha na Ramadhan Othman).