Warembo wanaoshiriki shindano la Miss Tanzania 2011, wakiwasili katika viwanja vya Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) leo kujionea shughuli mbalimbali za uzalishaji mali zinazoendeleo katika kampuni hiyo ambayo ni mmoja wa wadhamini wa shindano hilo kupitia kinywaji cha Redds.
Warembo wakivaa miwani ya kujikinga na vitu vya kupasuka kabla ya kuingia kiwandani. 
Victoria Kimaro Meneja wa Kinywaji Redds akizungumza baada ya ziara hiyo ya warembo. 
Warembo wakipatiwa maelezo ya namna shughuli za uzalishaji Bia unavyofanyika.(picha na maelezo toka Michuzi)