Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimsikiliza mjane wa Baba wa Taifa, Mama Maria Nyerere wakati alipomtembelea nyumbani kwake Mwitongo, Butiama. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).