Mshambuliaji wa Yanga, Davies Mwape akiruka Daluga la beki wa Coastal Union, Mbwana Hamis katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam jana.Yanga ilishinda 5-0. 
Kama kawaida vijana wa Yanga huwapa tabu sana mabeki wa timu yoyote kwa chenga zao za kuumiza viungo,ona hapo jinsi jamaa anavyozungushwa .
Mshambuliaji wa Yanga, Keneth Asamoah akishangilia bao la kwanza la timu yake kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaaam jana,(picha na Francis Dande)