YANGA BWANAAA......UTASEMA MANCHESTER UNITED.....!!!!!!!Imeipa dozi ya kutwa x3 timu ya leo Villa Squard(goli 3-2).Mzee wangu mzee Said wa Ilala Dar es Salaam pole na ukae mkao wa kula kwani ndio zetu hizo,tunakuja taratibu.